πππππ CITIZEN TV ππππ πππππ 2025 πππππππ
ππππ π
Mark na Jojo wakifika nyumbani,walipata Neema ashafika already hadi akawauliza yoh,mnatoka wapi? Mark akaambia Neema usijali tulikua na kasmall meeting an Jojo na beef yetu imeisha hadi Jojo akaomba msamaha? Neema akamuuliza Jojo kama ni kweli,Jojo akasema ni kweli but mjue my stand remains...Mark hivyo ndio aliokolea Jojo wasijue alikua kwa trouble.
Mark alimuuliza Neema kuliendaje meeting yake,Neema akamwambia amejitetea na nishampea warning asijaribu kuja between us or else atajua hajui...that was good for Mark as well na tena Mark akamkumbusha Neema akamwambia Barasa alikua ametualika kwake for dinner..si kawaida ya Baraza but Mark alimwambia ni asharudisha wife.
Maelek aliuliza Neema kwenye Ian ako but Neema akamwambia babu yake amemkatalia akasema maybe sisi tuko na maneno yetu kiasi. Babu alichanuka akaona,aha achukue Ian,ndio Mark na Neema wawe na good timeπππ
Kumbe Mark wakijipanga kuenda,Jayden na yeye alikuja kwa Mark washinde na Jojo ndio apee akina Mark na Neema time ya kuongea na wazazi wake na hata Jayden amekuja na movies wawatch ziwakeep busy ju its been a while. Jojo akamwambia ni venye tumekua na tu ish! ish! kiasi, Jayden akamwambia ni kweli,ni venye sometimes nafeel haunipi priority. Jojo hakuambia Jayden walienda an Amani out kikawarambaπππ
Dancan na yeye kazi ni paper work tu kwa biashara yake but Sharon anamwambia my dear,hata kama sijui mbona nafeel fishy kiasi kuhusu hii biashara yako but Dan alimwambia usijali bebes,wee tulia nikuonyeshe maajabu. In as much Sharon anataka sana waomoke, anafeel deep down hii biashara si poa. Dan anapiga mahesabu anaona pesa ako nazi hazitoshi so yafaa achukue loan lakini Sharon akamuuliza na security utaeka kama nini ju unajua loan lazima uwe na security? Dan akamwambia so niliona,security niweke hii nyumba yetu. Sharon alishtuka,hadi akaruka juu, "ati what" nyumba yetu uwekelee kama security kwa loan, NEVER EVERππππ
Mark washafika kwa Barasa. Neema na Salome walikua jikoni wakaongea about their issue kiasi za ndoa na za kitambo.
Jojo ana Jayden wako busy wanawatch movie fulani hapo ya Dj Afro,movie ya Alu Arjun akipiga akina Nanabai na Rajubaiπππwanaenjoy sana.
Huku Sharon amewaka anauliza Dan,kwani unaniona mjinga aje? Dan akawaambia sikiza,msiwe na wasiwasi,but incase hii ifail tutauza magari tununue nyumba ingine but Val akamuuliza dad,mbona basi usiweke hayo magari kama security? Dan akasema shida bank haikubali magari kama security. Dan aliwapanga Sharon na Val hadi akaambia Sharon,kubali tu niweke nyumba na nitakung'arisha hadi Neema akikuona anasikia tu poa and just like that,Sharon akafanya one,very big mistake,akakubali,aah! Makosa. wah!
ππππ π
Siku iliyofuata,Neema washakuja kazini na Mark huku Neema anaambia Mark, very soon vitu zitakua sawa ju ashapea Eddy stopper hatawai kuwasumbua lakini punde si punde,mwenye alipewa warning alifikaπππYani Eddy tu! Neema akauliza Eddy after kukuambia? You still have guts to come but Eddy akamwambia relax,sijakuja kwa niaba yako,nataka kuongea na Mark man to man...Mark akaona haina shida,twende tuongee.
Eddy alikuja akaomba Mark msamaha kwa kumkosea heshima na Mark akamwmabia haina shida,iam ok,kisha Eddy akaambia Mark,nashukuru sana kwa kusaidia familia yangu but ju nisharudi,kindly I want to take over responsibility lakini Mark akaambia Eddy,unajua hauna akili,mimi sijakuzuia anything na sina uwezo wa kukukataza huo ni uamuzi wa Neema na shida ni hutaki kukubali kuwa Neema hakutaki tena but Eddy alimwambia sikiza,najua Neema sana bado ananipenda na soon atanichose mimi but Mark akamwambia you do whatever you want to do but no at one point umhurt ju nitakutandika vibaya sana..Eddy akamwambia ni sawa,lets see,kati yako na mimi atachose nani and let the battle start.
Eddy alitoka akaenda na akapigia jamaa fulani simu,akamwambia nataka unitafutie wanaume watatu wazuri,nataka wanifunzie mtu adabu. Eddy ameamua kutumia rough way kudeal na Mark sasa,wah! Nikubaya.
On other side, Barasa na Salome penzi limerudi sasa,hadi wanaamka kusaidiana kazi hapo nje. Jayden bado kiburi ako nayo na leo hii anaenda kukutana na babake Jojo,na Salome akamwambia by the way, make sure first impression,it reall matters na hata naeza kukuchagulia nguo poa. Jayden hakukataa akakubali na ina maana kiburi kimeanza kupungua.
Eddy na yeye alienda akatafuta jamaa,gaidi mbaya sana akampea kazi na akamwambia you only have one mission to accomplish,kesho nataka akusikia Mark amevunjwa vunjwa vibaya sana,wueh! Nikubaya sasa...Eddy ameamua kuumiza Mark ndio aachane na Neema,will it work? Tutaona kesho.