Ubatizo wa RAILA.Utacheka



Ubatizo wa RAILA.Utacheka
Raila alienda kanisani kubatizwa, punde alipotoka majini Pasta akamwambia “sasa ewe ni kimbe kipya ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya, usinywe tena vileo na tangu leo utaitwa Paulo ”. Raila akasujudu akaandoka  akaelekea nyumbani baada ya ibada.Punde tu alipofika nyumbani, Raila alifungua friji akatoa bia ya Pilsner akitumbukiza ndani ya maji akasema “toke leo nimekubatiza, wewe ni kiumbe kipya. Toka sasa jina lako si Pilsner tena bali ni Fanta Pinaapple !!!!!”

Also read this:Mutahi Ngunyi the hitman,LOOK the way he is attacking Raila.  
                    
                    2nd grandson of Bishop Allan Kiuna and Kathy. This mzungu is a MARATHONER  
                  
                   JOHO: WHY I KEEP MY WIFE AWAY FROM PAPARAZZI EYE.  

                   Joho and his European Neighbor.Utacheka.

                   MILLIE taken out.JUST FOR LAUGH

.                 Raila and the Pastor.Just for laughs.

                 What really causes cancer? Here is the answer.  

No comments:

Post a Comment