Neema Citizens TV 14 TH April 2025 written Updates

 ππ„π„πŒπ€ πŸπŸ’π“π‡ π€ππ‘πˆπ‹




π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒 

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 

Ahaa! Huku kwa Mark mambo ni fiti tu hadi Mark anakimbizana na Ian wakicheza and Ian is super excited. Kuna zawadi Mark alikua amebuyia Ian na ishafika wakati wa kumpea na kumbe hii zawadi,sikiza, Mark kuna zawadi alipewa na babu yake,na hii zawadi ameamua kumpea Ian,lakini punde si punde,Eddy akafikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ian akaambia babake,dad, ona uncle Mark amenipea zawadi,lakini Eddy akachukua ile zawadi ya watch akaitupa akaambia Mark sikiza, kama ni zawadi unataka wa kupea enda pea mtoto wako Joseph.but for my kid na bibi yangu achana nao, Neema akaambia Eddy acha ujinga,who is your wife?


Eddy amejam lakini alifanya makosa,akamshika Neema mkono cha nguvu,ati aende na yeye,hahaaaa! Eeh,Mark alimshika Eddy anakumfunika kofi moja tu,hadi chini! Cheza na mwingine lakini usicheze na bibi yangu mtarajiwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Vita zilikua zinazuka hapo but watu akina Amani na Jayden wakaingia wakashika wanaume wawili. Eddy ilibidi ameenda,hata hakua amemaliza 3min hapo,venye tu alikuja, ilibidi arudi na kofi safi sana. Yani alifunikwa kofi akaokotwa hapo chiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Jojo na yeye amejam,anasema venye Mark ako mannerless but Jayden akamwambia zii,ni babako ameanza hii yote,Mark hana makosa hapo.


Mark alikuja akaongea  na Ian,akamwambia kid,iam sorry,iam soo sorry kwa kutandika babako,but mtu kama huyo yafaa asalimiwe na kofi..Ian alielewa Mark,na hata wakaenda na yeye. Jojo akiona hivyo,anatamani kupasukaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Barasa alikaa akaona wueh,bibi hanunuliwi sokoni,alitoka mbio akamfuata Salome and good thing,Salome hakua ameenda mbali. Barasa alimfuata akamwambia please please, you can't be running kila saa sasa sai unaenda wapi? Salome alimwambia hata pia sijui kwenye naenda but naenda tu,but Barasa alimwambia please,I can't leave without you,nimeishi na hii wound na ukienda sitapona tena,I need you Salome.


Sasa Jayden na Jojo,washaanza kuletana juu, Jayden anaambia Jojo venye wako soo close sana na Amani na wamejuana tu only...Jojo anaambia Jayden sijui huwa unanibeba aje lakini Jayden anamwambia zii,si hata umeona ametoka na babako hapa?


Huku nje, Amani aliuliza Eddy,kwani shida ni nini,si you two are divorced? Eddy akamwambia zii,nilikua nimeenda tu away kiasi but nimerudi,lakini Amani akamuuliza,kuna kitu umesema ati ile zawadi angepea mtoto wake Joseph kwani unamaanisha nini? Eddy akaambia Amani sikiza,huyu Mark niliambiwa story,ati alikua na dem na hakujua walipata mtoto,mbona asiende kupea huyo mtoto zawadi na amejua juzi tu? Amani akamuuliza wait,so unamaanisha Mark hakua anajua ako na mtoto? Eddy akamwambia eeh,but ameambiwa juzi tu na akajua...Eddy hana habari huyo mtoto ni huyu Amani but sasa hii pia imeshtua Amani kujua kuwa Mark hakujua Amani existed,until recent. πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯


Turudi kwa Mark na Jojo,Mark anauliza Neema,mbona Eddy anabehave hivyo? Neema pia anashangaa kwanza anasema si yeye alialika Eddy..lakini Jojo alikuja,akasema ni mimi nilialika dad akuje..Neema akamwambia now,ashaharibu party ya mtoto wake are you happy now? Jojo akamwambia zii,makosa ni ya huyu mwanaume Mark,why is he all over Ian? Jojo kanadhani kalisaidia,but ni kuharibu kaliharibu! Jojo thinks Mark is closing boundaries kuwekea Ian party.


𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐

Mark alikuja jikoni at least akunye maji kiasi na akiwa hapo,Neema alikuja akamlalia kwa mgongo,huku anamwambia manze,iam soo happy to be in love with you,kwanza venye umeomba msamaha kwa Ian,you have just melted my heart. Kumbe wakiongea,kwa mlango Sharon alikua anasikiza kila kituπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Sharon after kusikia kila kitu alibisha akaingia, alikua analeta sahani na akaambia akina Mark,msichome nyumba ju kuna joto mingi sana hapa...but all in all, Mark aliambia tu Neema kitu moja, I love you na Neema akamwambia I love you more & Good Night.


Amani pia ashakuja kwenye huwa analala but kitu kinamkula kichwa ni maneno Eddy amemwambia kuwa,Mark never knew hakua na mtoto...


Jayden pia ndio anafika nyumbani,hakupata mtu but kwa bed yake,akapata ile barua na akaipitia venye mamake ameomba sana msamaha kwake..kumaliza kusoma, Jayden akatoka mbio kuenda kutafuta mamake na kufika kwa mlango akakutana na babake ndio wanarudi,akauliza babake,dad,kwani madhe alienda? Kumbe Salome alikua nyuma,kumbe Jayden ashaanza kurealize he needs his mum.


Sharon na yeye amefika nyumbani badala ya kulala,ameanzana kelele na Dancan πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Barasa alikuja akaongea na Jayden akamwambia mamae alikosa ndio but ashalipia ya kutosha. Jayden akamuuliza so ushamsamehe? Barasa akamwambia yeah,na ju asharudi hapa,then it means she also loves us,so please pia msamehe.Jayden anakaa mgumu but hope he realize that mapema.


Siku iliyofuata,kila mtu ashaamkia mezani wanakunywa chai  na Ian amekaa karibu na Mark. Sasa Jojo kukuja,akauliza Mark,kwani wee mwanaume hujawai choka,mbona unaishi kuplay father kwa Ian? Ian akaambia Jojo wee pia yafaa ujue umekua mtu mzima,unaishi kuchukia uncle Mark na venye ametusaidia? Jojo akamwambia apana Ian,kumbuka uko na baba lakini Ian akamwambia zii,baba mgani mwenye aliharibu birthday yangu jana? Jojo akamwambia wee hufai kusema hivyo kwa baba yetu,lakini Ian alimwambia sikiza Jojo,uncle Mark ametusaidia sana,kwanza wewe amekutetea sana ukiwa kwa mashida,napenda uncle Mark na pia napenda baba yetu but wewe ni mkubwa hufai kudisrespect uncle Mark..Ian alipea Jojo stopper ingine kali sana.


Mark akiwa ametulia hapo nje, gate kulibishwa na wakati anafungua,akapata ni dem fulani hapo mwenye hajui. Dem aliuliza Mark kama Kate ako but Mark akamwambia zii hayuko...Huyo dem akapatiana barua fulani na akaambia Mark,Kate akirudi utampea hiyo barua lakini Mark akamuuliza wee,unajuaje Kate? Huyo dem akamwambia nini "mwambia tu ni Agness"