NEEMA
SONG LYRICS
Mke mwema, ni baraka kutoka kwa mungu....
Ndivyo mama,alivyonena na mimi utotoni..
Mtunze mumeo,mpe mahaba anavyotamani...
He'll be there for you...
Was he there for me...
Wema wangu ulinasaliti...
Did he ever really love me?
Neema...sina nguvu yako,
You've taken me for granted...
Wadhani siwezi bobea.....
Neema....sina neema yako...
Hakuna wema kwako.....
Tutasonga mbele bila wewe eeh....
Neema...uuh, uuh...
Tutasonga mbele bila wewe eeh...
Sina Neema aaaah!!...