"Sitamsamehe Ruth K kwa kutoka nje ya ndoa",Mulamwah amevunja kimya.





 

NEEMA CITIZEN TV 15TH APRIL 2025. FULL PART 1 AND 2.

 ๐๐„๐„๐Œ๐€ ๐Ÿ


๐Ÿ“๐“๐‡ ๐€๐๐‘๐ˆ๐‹ ๐–๐‘๐ˆ๐“๐“๐„๐ ๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’ 

Team Neema,usipite hii kaa haujaeka CLICK ADVERT MOJA

Like ukiendelea kusoma.

๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ 

Mark alienda akaleta ile barua yenye amepewa kwa gate na Grace but kuuliza Kate kama anajua Grace,Kate akamwambia zii,hamjui..Mark akamwambia amenipea hii barua. Kate kufungua barua,akaona ahaa imetoka kwa Uncle Lari,akaambia Mark nishajua Grace,msimamishe please...Grace ni mtoto wa Uncle Lari na hii barua imetoka kwa Abel..Abel ni nani? Abel ni mmoja wa wale wenye walikua wanatafuta Kate..Neema akamuuliza kama barua ni ya Abel si wewe kwisha? Kate akamwambia zii,Abel ni mtu mfiti hana maneno.


Mark alimuita Grace akamwambia sorry nilikudanganya Kate hayuko but amesema you can come.


Karen na yeye,alitumiwa text na Alphonse,akamwambia nipe your location nifike mbio sana. Karen akajua baaasi,chuma cha Naomi ki motoni sasa,kwanza washaagree na Alphonse kudeal na yeye,atapenda!


Kate na Grace ni miaka sana hawajaonana,so it was a happy moment kukutana...Kate alintroduce Tom kwa Grace na already Grace alikua anajua jina tu,but hakua anajua anakaa aje,sai ndio anaona ahaa,haka ndio kaboy  ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Eddy  na yeye alimcall Neema,Neema akamuuliza unataka nini? Eddy akamwambia iam sorry everything happened so fast,unaonaje tumeet tuongee? Neema alimwambia sikiza, stay away from,kaa mbali sana na mimi! Neema hataki anything to do with Eddy alah!


Tufike kwa msimbitini wetu,Dancan,amekuja kutafuta kachai huku kwa hotel na kumbe kuna beshte hapo anamjua,akamuuliza kazi iko aje? Dan akamwambia kiasi sai sina kazi,nafikiria maybe biashara kiasi. Akaulizwa biashara gani? Dan akamwambia biashara za magari hivi hivi...jamaa akamuuliza na pesa uko nazo mkuu,ju biashara za magari hutaka pesa mob sana. Dan hana pesa,lakini cheki,hapo tu kwa hotel,kuna jamaa alikua anasikia Dan wakiongea na akakuja hapo akamwambia mzee,nasikia unataka kufungua biashara? Dan akamwambia yeah...


Huku kwa Mark, tena Amani alikuja na ameleta zile picha. Amani alimwambia sorry about your watch na inakaa kuna memories zinakuaffect sana? Mark hapendi mtu anamuuliza uliza maswali,akamwambia si umeleta picha kijana,unaeza enda sasa lakini Amani alimuuliza,jana nilisikia story sana,does it mean kuna mtoto ulipoteza ama? Mark alisimama akaambia Amani sikiza, its good to be curious but si poa kuingilia maneno ya watu wengine๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Mark hana habari huyu ni mtoto wake.


๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ 

Ian ashaamka na mkono wake unauma kiasi. Jojo na Neema wako hapo na wakiwa tu hapo, Eddy akamcall Neema..Neema hakutaka kupick but Jojo akamwambia si dad anacall.. Neema akashika tena akamuuliza unataka nini? Eddy aakmwambia please, nataka tu tuongee,nikuje jioni nikuchukue tuongee... Neema aliona ili kumaliza maneno akaambia tu Eddy sawa sawa.


Mark pia aliwajoin  na amesikia Ian akisema ni uchungu mkono. Kisha Ian akaambia mamake hataki apakwe na mamake,anataka kupakwa na uncle Mark,sasa Jojo akisikia hivo,kinaumwa,mbaya mbovu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Jayden amekuja huku anataka kuongea na Jojo. Jayden aliona nikama Jojo hayuko sawa,akamuuliza kwani umenijamia ama? Jojo akamwambia zii,mbona? Jayden akamwambia your face tells it all..Jojo akamwambia si ni wewe jana umesahau chenye ulisema jana nikijaribu kusema mamangu asiwe na Mark...Jayden akamwambia zii, plus unaona hata Amani alienda na babako na mimi hata introduction pekee hujawai fanya. Jojo akamwambia now wait. Jojo akacall babake akamwambia anataka wameet na boyfriend wake kesho,Eddy akamuuliza Ben? Jojo akamwambia zii,si Ben huyo tuliachana,ni mwingine๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚woiye Jayden.


Dancan na yeye amerudi nyumbani akiwa very happy,akaambia Sharon guess what,nimepata deal ingine safi sana,Sharon akamuuliza gani? Dan akamwambia kuna jamaa amesikia nataka kuanza biashara za magari,so wamenipea deal na naona tutaomoka sasa..lakini Sharon akamuuliza,pesa utatoa wapi? Dan akamwambia unajua kuna tupesa nilikua nasave kiasi tutaanzia hapo..Sharon akamwambia ooh,so kumbe uko na tupesa na venye nimekua nateseka hapa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Ian ashatengenezwa mkono na akaambia Mark na Neema venye anawapenda. Ian aliambiwa aende kuwatch cartoon. Neema akaambia Mark,Eddy anataka sana tumeet and set things straight about our kids..Mark akamwambia haina shida,its better done once ndio aache kutusumbua sisi.


Jayden amerudi home hadi babake anashangaa amerudi haraka sana. Jayden alienda kuongea na Jojo but maongezi haikufanyika. On other Barasa akaona ndio hii nyumba yao iwe na mood poa,acha apange siku wainvite akina Mark wakuje wakule wakipiga story za maisha.


Kuna barua Salome alikua ameachia Jayden kwa bed,ingine sasa but sasa si barua barua,ni bahasha ya picha za Jayden akiwa mdogo.


Amani alimcall Jojo akamuuliza kama aliona photos? Jojo akamwambia yeah,niliziona..Amani aliambia Jojo nimeboeka sana na huku sijui mtu. Jojo akamuuliza so ju umeboeka ukaona unicall sindio? Amani akamwambia unaonaje ukuje nikupeleke pahali iam sure utafurahia..Jojo akamwambia I think hauna kichwa mzuri wewe..Amani akamwambia come, trust me utafurahia..Jojo akasema shida kuna bro wangu siezi muacha peke yake but Amani aliinsist sana.


Sasa hawa na wao๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Neema na Eddy wako kwa gari wanaenda kuongea,na hawaongeleshani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚wamefuriana vibaya sana. Wanaangaliana kwa macho za pembeni๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Haya wakuu sitaki kuwachosha saaaaana kuwakumbusha tu kama uko n 20bob unaeza pata 250mbs 24hrs ukitumia hii till 4500526