Joho and his European Neighbor.Utacheka.
Hapo kitambo kidogo joho alipata jirani mtalii mwenye asili
ya uingereza.Asubuhi iliyofuata mtalii mzungu kamuamkia Joho “Good morning ?”.
Joho akamjibu muingereza “ Morning Good ”!!!!!. Mkewe kamcheka sana Joho na Kumwambia
“sasa mbona umejibu kinyumenyume ?” Joho kamwambia mkewe “wewe utabaki hivo
hivo na ujinga wako.kwani ukiambiwa Salaam Alaykum si unajibu Aleykum Salaam”
No comments:
Post a Comment