NEEMA CITIZEN TV 18 APRIL 2025.


 ππ„π„πŒπ€ πŸπŸ–π“π‡ π€ππ‘πˆπ‹ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒 

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 

Dancan siku iliyofuata,aliamkia kwa kwa bank akachukua loan na akaleta kwenye yafaa afanye kazi. Huh! Mchezo wa town. Kisha Dan akauliza,kama kuna kareceipt for formalities kiasi,akaambiwa hata wee usijali,sisi tunafanya business legit so usiwe na wasiwasi...alaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kisha Dan akasema mnajua bibi yangu haamini saaana so mnaonaje hata mnipe gari moja ndio at least akiniona na gari ataamini sana? Wakamwambia hata usiwe na shaka,twende uchague gari lenye unataka.


Salome alikuja kuchagulia Jayden nguo mzuri yenye atavaa akienda kuona Eddy,leo ni siku ya kijana kumeet na father in law and his mum ameona amchagulie.


Kwa Mark, Amani alikuja kuomba msamaha kwa venye alimisbehave hivyo kisha akauliza Jojo, mbona unapenda kuongelea Mark vibaya na venye jana he was there first thing after umemcall,that means he is a good guy. Jojo akamwambia sikiza, I call my dad kwanza but alikua busy. Amani aliambia Jojo, Mark ni msee mfiti sana ni wewe tu ndio unapenda kumchomea akae jamaa mbaya but all along wewe ndio mbaya na venye unakaa uso kama ugali.


Eheeee! Dancan amepewa gari amekuja nayo,na wako na furaha sana,kwanza Sharon kuona bwanake amebuy gari nduru si nduru. Sharon alicall akina Isabelle akawaambia nyi hamjui bwanangu,anakuanga na bidii sana na soon atanunua mansion kubwa sana. Yani Sharon ako very happy kuruka.


Hapo na hapo,Val ashapiga picha ametumia Jojo kumwambia wako na gari... Jojo anauliza Val kwani mumeshinda jackpot ama? Val akamwambia zii,ni God tu manzeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Mikakati zishaanza kupangwa kupeleka Mark sayuni. Karen pia anapanga zake venye atadeal na Neema.


Mark yeye hana habari anafanyiwa plans na wenye wanapanga hadi wanapitana na yeye but ju yeye anajua hana ubaya na mtu,haezi shuku anything.


𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐  

Siku ni ya Jayden kumeet Eddy na hata Jojo na Eddy washafika. Jojo alifanya intro akaambia Eddy kuhusu Jayden before afike.


Huh! Sasa kuna shida hapa,Jayden kufika Eddy akamuuliza,so wazazi wako wanafanya kazi gani? Jayden akamwambia babangu ni fundi wa radio na simu. Eddy akacheka,akamwambia acha jokes kijana unakuanga comedian? Jayden akasema zii,iam serious babangu huunda simu na radio. Eddy akaona huyu ndio anataka kuoa mtoto wangu,aaaaaaiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


On other side, sherehe ishaekwa Sharon ashaalika akina Neema kwa hotel ingine kubwa sana. Huku ni kukula wakikunywa tu hadi Sharon anauliza Neema kama ashawai fika kwa hii hotel kubwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Sasa Sharon badala wafocus na sherehe akaanza upuzi. Mark aliambia Dan at least utakua unafanyia kazi karibu na familia na Sharon akaambia Mark,eeh kama tu huyo bwana wa Neema amerudi kutafuta familia yake baada ya kujua umuhimu wa familia,lakini Babu aliambia Sharon,saa zingine ongea sense, si kuongea ongea na sura kama ugali. Babu hapendi Neema akiongelelewa kitu mbaya.


Kumbe kwa hii hii hii hotel,maskini wa Mungu wale magaidi walitumwa kumaliza Mark,walikua hapa hapa watching. Makosa sana.


Jojo alisuggest ile idea ya waende na Jayden majuu kusomea huko lakini Eddy akamwambia aah, hapo kiasi unarash my daughter. Eddy anasema hivi ju anaimagine ati Jayden na Jojo anaona never.


Sasa,Jojo alijiexcuse kiasi kuosha mikono akaacha Jayden na Eddy kwa meza. Eddy akaambia Jayden sikiza, huu ujinga unataka kuenda na mtoto wangu majuu sahau kabisa,unapanga kama nani? Jayden akamwambia hata niliambia Neema na akakubali lakini Eddy akamwambia mimi ndio babake na mimi ndio kusema plus unaenda na yeye utamlea na nini na hata pesa za pikipiki hauna? Jayden alijitetea lakini Eddy akamwambia mtoto wangu hatasomeshwa na pesa za msaada,and that will never happen. Eddy aliona Jojo amerudi akanyamaza but akaona tu environment akajua si kuzuriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


On other side,gaidi alicall Eddy akamwambia,huyu Mark anatembea tu na bibi yako na watu wengine.Eddy akamuuliza so? Jamaa akamwambia yafaa awe peke yake kwanza ju akiwa na watu inakua ngumu kiasi. Eddy,anataka kumaliza Mark.

No comments:

Post a Comment